Iringa leo kumekucha ni makombati, skafu za chadema, ni mwamko wa hali ya juu maandamano yanatoka sehemu tatu ipogoro, kihesa na mkwawa, watu ni wengi sana hapa kihesa wakisubiri kuanza kwa maandamano, hamasa ni kubwa huku FFU wakiranda randa,

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhongwa wilayani Makete mkoani Iringa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya ziara za chama hicho juzi.

HII NIMEIPENDA SANA, INAELEKEA MPAKA WATOTO WANAWAONEA HURUMA WAZAZI WAO KWA MAISHA MAGUMU NA WAO WAMECHOKA KUSOMA SIASA ZA UONGO.

1. Je hawa watoto wanaweka kumbukumbu gani kwa Dr Slaa?
2. Je ni haki gani wanaona ya kuwa hawatendewi mpaka wamng'anganie hivi?
3. Watoto wanaposikia historia ya Tanzania na hali iliyopo sasa wanatata kiwewe gani?
4. CCM inatarajia matokeo gani kwa hawa watoto wapendwa wanaohitaji malezi mazuri ili waweze kuwa na nguvu ya kuendeleza mazuri watakayorithi kutoka kwa viongozi waliopo, badala ya wizi, rushwa, uongo, tamaa nk.











Kwa hisani ya francisgodwin.blogspot.com







intelligensia ya mwema



hapa ni kazi tu




2015 wote hawa watapiga kura



wazee hawa ni kamati ya shule ya mwembetogwa walikuwa wamtumwa na ccm ili kuzuioa chadema kutumia uwanja wa shule hiyo kwa shughuli ya leo